Fuatilia semina za Neno la Mungu nchini Tanzania. Ratiba inayofuata inaonyeshwa hapa chini; tarehe na mahali yanaweza kusasishwa mara kwa mara.
Tangazo la ratiba ya huduma
Semina ya Neno la Mungu
Semina Ijayo
Muda na tarehe
Tarehe
Kuanzia
05-Sep-2026
Hadi
07-Sep-2026
Muda
Kutoka
Saa 3 (9:00 AM)
Hadi
Saa 11 (5:00 PM)
Mahali na ukumbi
Dar es Salaam – eneo litakalo tangazwa
Ukumbi
Hema / Nje
Wahusika
Wahudumu
Mwl. Steven Mwakatwila
Waandaaji
Kamati ya maandalizi ya jiji
Waimbaji
Kwaya ya Husonemu